Tuesday, September 18, 2012

IMTD YAINGIA TANZANIA KWA MAONYESHO TAREHE 30 – 31 AGOSTI, 2012


Balozi wa India ikipatikana jijini Dar es Salaam pamoja na taasisi la shirikisho ya biashara na maonyesho inayoitwa India Medical tourism destination ( utalii wa afya) ambayo itafanyika tarehe 30 na 31 Agosti, 2012 katika eneo la Diamond Jubilee. Maonyesho hayo zitaanza saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni na itaendelea kwa siku mbili.
India ina idadi kubwa ya watalii wanayofuata matibabu nchini mwao na matumizi ya rupee 4,500 ( zaidi ya dola milioni 80) katika kupata matibabu katika nchi 30 ulimwenguni, Marekani, Canada, Uingereza, Urusi, Warabuni, Uganda, Tanzania, Sri Lanka, nchi ya Asia kila mwaka.
IMTD ilianzishwa mwaka 2009 nchini Canada, ikifuata utambuzi kwamba utalii yakiafya imebadilika sana nchini India. Baada ya hapo mwaka 2011 nchini Kenya, Kuwait na Oman. Mwaka 2012 ilifanyika Tanzania na Kenya. Katika jitihada hii hospitali chache, maduka ya dawa, mawakala ambazo zinafanya kazi ya kujenga mazingira ikielimisha, kuwezesha na kuleta watalii wa afya kutoka nchi mbali mbali.
IMTD 2012 inaleta pamoja watoa huduma yakiafya kutoka nchini India, hospitali kubwa kutoka India kama Fortis, Medanta, Asian Heart, Seven Hills, SRM Hospitral, Vasan Eye Care, idara ya Aayush, Serikali ya India, na nk. Hospitali hizi zikilinganishwa pamoja na dawa za kisasa pamoja na zakiasili kusaidia kujenga ubora wa juu, kimadili na kiuchumi endelevu matibabu ya idara hii yakitalii yakiafya.
Madhumuni ya maonyesho haya nikuwezesha fursa yakujuana kwa wataalamu, kwa wasomi na wadau kuweka jukwaa kwa masharika na taasisi nchini India na Tanzania kushirikiana na kuimarisha huduma yakiafya. India inatoa huduma yenye hali ya juu ambayo ina bei nafuu na hospitali nyingi zakihindi zinaubora zakimataifa.
Akiongea na wandishi wa habari katika mkutano jijini Dar es Salaam  akitangaza mpango huu kwa jamii balozi msaidizi wa India kwa nchi ya Tanzania ..................... alisema “ Tumefurahia kuweza kuwa na maonyesho haya hapa nchini Tanzania. Serikali ya Tanzania imefanya kazi pamoja na wizara yetu ya afya kupitia IMTD. Kupitia maonyesho hayo tungependa kutoa shukurani zetu na tunawakaribisha waTanzania kuja kwenye maonyesho haya.
Maonyesho haya yatakuwa na ni miongoni na madaktari wataalamu na madaktari ujumla. IMTD watakuwa katika maonyesho hayo, wadau katika sekta ya afya kutoka nchini India ambayo ni pamoja na wakilishi kutoka hospitali na vituo vya afya yenye hali za juu, surgery za mapambo, hospitali za macho, Ortho care, bidhaa za afya, huduma zakiasili, utalii yakiafya, makampuni za dawa, vituo vya physiotherapy, Yoga na huduma zingine ambazo zinapatikana nchini India.
Mkurugenzi wa Shirikisho Kanda ya India Chemba ya Biashara na Viwanda (FICCI), Lt. Vivek Kodikal  (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika ubalozi wa india uliopo jijini Dar es Salaam jana kuhusu ziala ya kitalii ‘’ Utalii wa  Afya ‘’  itakoyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubee kuanzia tarehe 30 na 31 Augusti. Moja ya lengo ikiwa ni kujuana kwa wasomi na kuelimishana na kuboresha huduma. Kulia na Mshauri wa Ubalozi wa India, Kunal Roy. Picha na Rafael Lubava








About India Medical Tourisim Destination
IMTD is a board under the Ministry of Health of the Republic Government of India which works to create bridges between the clients of the Medical Health Spectra of India with the broad clientelle of patients worldwide.
IMTD was initiated in the year  following the realisation that the medical tourism story has changed dramatically in India. Private enterprises have created a very favorable atmosphere for patients with varying degrees of illness to avail of the best facilities for their care.

In this endeavor a few corporate hospitals, chemists, freelance agents all working in tandem to build a thriving ecosystem that educates, facilitates and ferries medical tourists from across the world. In the year 2010, this ecosystem was responsible for about 600,000 patients travelling to India and spending 4,500 crore (Over 80 Mill USD) in getting treated here from over 30 counties around the world, USA, Canada, UK, Russia, the Middle East, Uganda, Tanzania, Sri Lanka, the Central Asian Republics.

Reginal Director of Federation of Indian Chambers of Commerce and Industry (FICCI), Lt. Vivek Kodikal speaks wuth journalists at Indian Ambassoder in Dar es Salaam yesterday about Health Project  Exhibiton called INDIA MEDICAL TOURLISM DESTINATION (IMTD) wich will take place from 30th and 31st August at Diamond  Jubelee Hall in Dar es Salaam. One aim is to share knowledge  from differences  intellectuals of Tanzania and India. Right is Counsellor of India Commission, Kunal Roy. PHOTO | RAFAEL LUBAVA





Saturday, August 18, 2012

DO YOU KNOW BIZ QUEST CONSULTANCY?


Media Relations
With a database of over 1000 press contacts in Tanzania, we can secure press across various formats. We’re always on the lookout for great opportunities for our clients. Bizquest Consultancy are also able to conduct media training or editor’s briefing with the client who can then understand the media better. Amongst targeting across borders we also have media contacts with international media and link with our partners and organize for media coverage in Africa and now entering Europe.

Digital Campaigns
Each digital campaign is tailored individually for each artist/band according to genre, level and budget. We also partner with social media companies that are found in Tanzania and globally to ensure that the client is getting value for money services. We target all the major online news, lifestyle, Social media and Alternative Press; lifestyle magazines. You can select us to work on a local/regional/national or international campaign.

Crisis Management
Bizquest Consultancy works together with the client during a crisis and sees how best they can contain the situation with the media. Having the relationships with the editors with the media houses helps to contain the crisis that is happening at that time.

Press Conferences
Bizquest Consultancy organizes press conferences and we take press conferences and make it innovative and see how best we can help deliver the client’s goal. We aim at having the message delivered to the media in the best way possible.

Workshops
We specialize in workshops and aim to get coverage from the workshops that are informative and the client is able to speak of the workshop.


Media Tours
In order to get the client to increase their media relations we also arrange media tours with the client.
 

Strategy in PR
Looking at the current market and brainstorming within the agency, Bizquest Consultancy looks at the current market and is able to come up with a strategy that will best fit the client.


Event activations
During activations Bizquest Consultancy are able to create stories around your activations and maximize the PR opportunity.

Image Analysis Reports
Bizquest Consultancy has the expertise of creating the Image analysis in your industry. The image analysis report is able to tell you how your competitors are fairing up in terms of coverage in print, TV and radio. This report is delivered to you at the end of the month. This report is available in any category.

Communication Proposals
For PR practitioners who would like to have a communication proposal prepared we are able to prepare the proposal according to your brief. Bizquest Consultancy has experience with major companies including telecom, health and agricultural and is able to create a proposal that will awe your client.

Media Monitoring
Bizquest Consultancy monitors all media by working with a media monitoring company that monitors all media that includes print, TV, radio and digital media.

Copy writing
Bizquest Consultancy has experience in getting involved in checking content in newsletters and making sure that there are no errors.



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...